KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Bruno Fernandes abeba Ureno dhidi ya Uruguay katika Kundi G

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 19:08:01 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA URENO walitinga hatua ya 16-bora kwenye fainali za Kombe la Dunia mwaka huu baada ya kupepeta Uruguay 2-0 katika pambano la Kundi H mnamo Jumatatu usiku ugani Lusail Iconic, Qatar. Kiungo mzoefu wa Manchester United, Bruno Fernandes, alifungulia Ureno ukurasa wa mabao katika dakika ya 54 baada ya kumzidi maarifa kipa Sergio Rochet […]