KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Brazil wakomoa Uswisi na kuingia hatua ya 16-bora

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 09:55:11 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA CASEMIRO alifunga bao la pekee katika ushindi wa 1-0 uliosajiliwa na Brazil dhidi ya Uswisi katika mechi ya Kundi G ugani 974 mnamo Jumatatu na kusaidia miamba hao kutinga hatua ya 16-bora. Kiungo huyo wa Manchester United, alipachika wavuni bao hilo kunako dakika ya 83 baada ya kumzidi ujanja kipa Yann Sommer. Ushindi […]