Kocha wa AFC haendi popote- Shikanda

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 05:36:34 EAT   |  General

Na JOHN ASHIHUNDU MWENYEKITI wa AFC Leopards, Dan Shikanda amejitokeza kusisitiza kwamba kocha Patrick Aussems hana mpango wa kuagana na klabu hiyo kwa sasa. Alisema kuwa kocha huyo ndiye atakayeongoza kikosi leo alasiri kitakapopambana na Posta Rangers ugani Nyayo.Shikanda alitoa hakikisho hilo, kufuatia madai kwamba raia huyo wa Ubelgiji, alikuwa akikamilisha mpango wa kujiunga na […]