KNH kuzika miili 541 wenyewe wasipoenda kuichukua

Taifa Leo
Published: Apr 02, 2024 16:46:19 EAT   |  General

Na HILARY KIMUYU HOSPITALI ya Kitaifa ya Kenyatta (KNH) inapanga kuzika maiti za watu 541 zilizoko kwenye hifadhi ikiwa jamaa zao hawatazitambua ndani ya siku saba zijazo. Miongoni mwa maiti hizo ni za watoto 475 na watu wazima 66 ambao huenda wakazikwa katika kaburi la halaiki ikiwa familia zao hazitawatambua katika siku za hivi karibuni. […]