KIPWANI: Asema ‘views’ si hoja, bora muziki mzuri

Taifa Leo
Published: Nov 11, 2022 08:32:09 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO MWANADADA Laurriete Rota sio tu mwanamuziki anayetokea Pwani na hususan Mombasa, lakini pia yeye ni mwanasaikolojia. Majina yake ya usanii ni Larota Africa na muziki anaoufanya sio wa Kipwani Pwani, ila ni Afro-Soul, Afro-Fusion na vitu kama hivyo. Nafasi ilitokea ya sisi kupiga stori, nami nikaona isiwe kesi kuwapasha haya. Toka umeanza […]