KINYUA KING’ORI: Serikali itathmini upya mpango wake wa kuagiza mahindi ya GMO nchini

Taifa Leo
Published: Nov 24, 2022 12:37:26 EAT   |  News

NA KINYUA KING’ORI HATUA ya serikali ya Rais William Ruto kuagiza mahindi yanayokuzwa kwa njia ya kisayansi (GMO) kwa lengo la kudhibiti baa la njaa nchini huenda isiwafaidi wengi kwa hofu ya kuhatarisha maisha yao. Serikali imepanga kuagiza mahindi hayo kutoka ughaibuni kwa kipindi cha miezi sita, jambo ambalo limetia tumbojoto baadhi ya wanasiasa na […]