KIKOLEZO: Walivyofungwa na mikataba ya kinyonyaji

Taifa Leo
Published: Mar 25, 2022 15:39:50 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO UKIMTIZAMA rapa mkongwe wa Marekani Birdman na staa wa Bongo Flava Diamond Platnumz, utagundua wanafanana. Hawafanani kwa kuzungumza, sura, maumbile au nini, ila wanafanana kwenye dunia ya muziki. Wote ni wanamuziki wakubwa wenye heshima zao lakini pia ni ma-CEO wa lebo kubwa, Diamond akiwa ni mmiliki wa WCB Wasafi naye Birdman akimiliki […]