KIKOLEZO: Muziki na siasa: Moto wa karatasi?

Taifa Leo
Published: Apr 29, 2022 11:51:19 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO UHUSIANO kati ya muziki na siasa hapa nchini unaweza ukaufananisha na mahusiano ya wasanii Harmonize au Diamond Platnumz na ma-ex wao. Huwa ni mahusiano yanayodumu kwa muda mfupi ilimuradi kutimiza mahitaji ya muda fulani kisha yanaisha. Mwaka huu ukiwa ni mwaka wa uchaguzi, wanasiasa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha umaarufu wao unamfikia kila […]