Kikao cha Kindiki chavurugwa na milio ya risasi

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 05:07:15 EAT   |  Educational

Na KITAVI MUTUA HOTUBA ya Waziri wa Usalama Kithure Kindiki katika eneo la Ngomeni, Kaunti ya Kitui ilivurugwa kwa muda na milio ya risasi iliyofyatuliwa na majangili ambao wamekuwa wakiwahangaisha wakazi kwa miaka mingi. Milio ya risasi ilisikika umbali wa kilomita mbili kutoka Shule ya Msingi ya Mandongoi, Mwingi Kaskazini ambako Waziri huyo alitua kuongoza […]