‘Ker’ mpya wa jamii ya Waluo kujulikana baada ya Juni 10

Taifa Leo
Published: May 25, 2023 13:03:17 EAT   |  News

NA ANGELINE OCHIENG MWENYEKITI mpya wa Baraza la Wazee wa jamii ya Waluo ‘Ker’ atajulikama baada ya Juni 10, 2023, kiongozi wa Azimio La Umoja-One Kenya Raila Odinga ametangaza. Raila ambaye ni mlezi wa baraza hilo amesema hayo Alhamisi baada ya kuhudhuria mkutano wa kwanza wa baraza hilo ulioandaliwa jijini Kisumu. “Wanachama wote kutoka kaunti […]