Kenya yaagiza mbegu za GMO

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 17:13:56 EAT   |  News

NA LEONARD ONYANGO WAKULIMA nchini wataanza kupanda mahindi yaliyobadilishwa maumbile kisayansi (GMO) kuanzia mwaka 2023. Hii ni kufuatia hatua ya serikali kuagiza tani 11 za mbegu za mahindi ya GMO kutoka Afrika Kusini. Mbegu hizo zinatarajiwa kuwasili nchini kati ya Januari na Machi 2023. Kulingana na Mamlaka ya Kudhibiti Usalama wa Mimea iliyofanyiwa Ukarabati wa […]