Taifa Leo   
Kenya Kwanza yarai Azimio kurejelea mazungumzo

Published: May 25, 2023 13:48:16 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA WAWAKILISHI wa Kenya Kwanza katika kamati ya mazungumzo ya maridhiano wamewasuta wenzao wa Azimio kwa kujiondoa kwa muda wakilalamikia kutoshughulikiwa kwa matakwa yao kadhaa. Wakiongozwa na mwenyekiti wao George Murugara, wabunge hao wamesema Alhamisi kuwa ilikuwa mapema kwa wenzao wa Azimio kuchukua hatua hiyo bila kufuata taratibu zote za kusuluhisha tofauti baina […]

View Original Post on Taifa Leo