Taifa Leo   
Kenya Kwanza yaanza kutikiswa na mivutano

Published: Nov 24, 2022 09:13:13 EAT   |  News

NA BENSON MATHEKA DALILI zimeanza kuibuka katika muungano tawala wa Kenya Kwanza, zikionyesha unakumbwa na mzozo wa ndani, miezi miwili pekee baada ya kuingia madarakani. Hali hii imejitokeza baada ya viongozi wake kuanza kutofautiana kuhusu maamuzi muhimu, yakiwemo ya kiserikali, hasa kuhusu uteuzi wa wawakilishi katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA), uagizaji wa mahindi yaliyobadilishwa […]

View Original Post on Taifa Leo