KASHESHE: Mondi afukuzia kolabo na RiRi

Taifa Leo
Published: Apr 22, 2022 10:20:11 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO DIAMOND Platnumz ameanza kufukuzia kolabo na staa wa RnB badgirl RiRi. Kwa sasa, Platnumz kahamishia kambi yake Marekani ambapo juzi aliandaa pati ya kuwasikilizisha watu EP yake mpya First Of All aliyoachia wiki tatu zilizopita. Akiwa bado yupo huko Marekani, Diamond kafanya mahojiano na BBC na kufichua mchakato anaoendelea nao wa kufanya […]