KASHESHE: Ezekiel Mutua arudisha ngori

Taifa Leo
Published: May 06, 2022 06:44:25 EAT   |  Entertainment

NA SINDA MATIKO KUFUATIA kurejeshwa kwa leseni za muziki, sasa wahudumu wa matatu na waandalizi wa shoo wapo kwenye ngori ya kupigwa faini ya hadi Sh500,000 Afisa Mkuu Mtendaji mpya wa MCSK, chama cha ukusayaji na ugavi wa mirabaha kwa wasanii, Ezekiel Mutua, amerejesha sheria hiyo ya utoaji wa leseni za muziki, kwa watumizi wa […]