Karan Patel ndiye mfalme wa Nakuru Rally

Taifa Leo
Published: Mar 06, 2022 06:54:46 EAT   |  Entertainment

Na GEOFFREY ANENE DEREVA Karan Patel anaendelea kufanya vyema kwenye Mbio za Magari za Kitaifa za Kenya (KNRC) baada ya kuzoa taji la Nakuru Rally, Jumamosi. Akielekezwa na Tauseef Khan, Patel alitawala kilomita 155.34 za kushindania pointi baada ya kurejesha gari lake la Ford Fiesta R5 wa kwanza kwa saa 2:01:27.0. Patel hakuwa ameshinda mbio […]