Kamagiras 20 wakamatwa na polisi katika mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kwa Reuben

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 11:03:02 EAT   |  News

NA SAMMY KIMATU [email protected] KINARA wa polisi eneo la Makadara Bw Timon Odingo na mkuu kitengo cha DCIO, Bw Felix Nyamai walishirikiana kuvunja mipango ya kundi haramu la wahalifu wanaojiita Kamagiras. Katika operesheni hiyo iliyofanyika maeneo ya mtaa wa mabanda wa Mukuru-Kwa Reuben, washukiwa 20 walikamatwa. Isitoshe, polisi walinasa pikipiki nne zinazoaminika kuwa ziliibiwa. Waendeshaji […]