
Kafyu katika eneo pana la Chakama yaongezwa kwa siku 30 zaidi
Published: May 25, 2023 14:44:22 EAT | News
ALEX KALAMA Na FARHIYA HUSSEIN WAZIRI wa Usalama wa Ndani Prof Kithure Kindiki amesema baadhi ya wafuasi wa mhubiri tata Paul Mackenzie ambaye bado yuko kizuizini wameonekana wakitorokea mbuga ya Tsavo Mashariki na eneo la Galana Kulalu ili kujificha. Prof Kindiki ameyasema hayo mnamo Alhamisi aliporejea Shakahola ambapo ametangaza kuwa kafyu iliyowekwa eneo hilo na eneo […]