JURGEN NAMBEKA: Vijana watumie maonyesho ya ASK kuzamia kilimo

Taifa Leo
Published: Nov 03, 2022 05:48:48 EAT   |  Business

NA JURGEN NAMBEKA MAONYESHO ya Kilimo (ASK) ya Kaunti ya Mombasa yanayoendelea katika uwanja wa Mkomani eneo la Nyali, ni fursa nzuri ya vijana Pwani kujifunza mengi kuhusu kilimo biashara. Kwa sasa, asilimia 13.84 ya vijana hawana ajira, hali ambayo inasononesha mno. Licha ya kuwa vijana wengi Pwani wamekuwa wakitafuta njia za kujikwamua kutoka kwa […]