Joho, Raila wakutana kabla Azimio la Umoja

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 07:24:14 EAT   |  General

Na ANTHONY KITIMO GAVANA wa Mombasa, Bw Hassan Joho, amehudhuria mkutano wa dharura na Kiongozi wa chama cha ODM, Bw Raila Odinga, kabla ya kongamano kubwa la kinara huyo kesho. Mkurugenzi wa Mawasiliano Kaunti ya Mombasa, Bw Mudathiri Kareem, jana alithibitisha kuwa Bw Joho alielekea Nairobi kwa mkutano huo kwa jina Azimio la Umoja.Kongamano la […]