Jinsi tumbiri wanavyofanya uharibifu shambani, kuiba pombe

NA MWANGI MUIRURI IKIWA kuna mnyama ambaye amesumbua wakulima wa Murang’a kwa muda sasa, ni tumbiri. Tumbiri wamezidisha utukutu wao kiasi kwamba kando na kutisha kubaka wanawake, wameingilia tabia za kunyonya ng’ombe,mbuzi na hata nguruwe kunywa maziwa yao. “Hii si hali tena. Walianza kwa kuharibu mimea na mavuno shambani. Sasa wameingilia tabia za kuingia katika […]