Huyu Joy Kendi atakupa siri ya kuwa ‘influensa’

Taifa Leo
Published: Feb 29, 2024 16:55:07 EAT   |  Business

NA SINDA MATIKO JOY Kendi ni miongoni mwa mafashonista wanaotetemesga hapa nchini. Lakini pia ni mtalii wa ndani na nje ya nchi. Kutokana na mishemishe zake hizi, Kendi kaishia kuwa miongoni mwa watengenezaji maudhui wakubwa nchini ambao hupata dili za biashara matangazo mara kwa mara kutoka kwa kampuni mbalimbali tajika. Juzi kati, Kipwani tulikaa naye […]