Hofu wanyakuzi wamezea mate ardhi ya shule ya viziwi

Taifa Leo
Published: Nov 10, 2022 05:56:22 EAT   |  Educational

NA ALEX KALAMA MUUNGANO wa Viziwi nchini umeibuwa hofu kuhusu njama ya kunyakua ardhi ya shule ya upili ya Viziwi ya Pwani iliyo katika Kaunti ya Kilifi. Maafisa wakuu wa bodi ya muungano huo wakiongozwa na Bw Francis Ng’ang’a, wamesema ardhi hiyo ni ya ekari 30 na walipotembelea shule hiyo walipata ugavi umefanywa katika ekari […]