Harmonize motoni Nairobi kwa kukosa kuimba vilabuni

Taifa Leo
Published: May 02, 2022 08:55:08 EAT   |  Entertainment

NA MERCY SIMIYU MWANAMUZIKI Rajab Abdul Kahali, maarufu kama ‘Harmonize’ kutoka Tanzania, Jumapili jioni aliachiliwa na polisi baada ya kukamatwa asubuhi kwa madai ya kutofika katika vilabu kadhaa jijini Nairobi kutumbuiza licha ya kulipwa. Mwanamuziki huyo alipangiwa kutumbuiza katika vilabu vya Volume001, Captain’s Lounge eneo la Athi River na Cocorico kilichoko Roysambu. Lakini kwenye kikao […]