Hali si hali wanafunzi wakiingia sekondari

Taifa Leo
Published: May 05, 2022 06:15:46 EAT   |  Educational

NA WANDISHI WETU WALIMU katika shule ya Sekondari ya Kanga walishangaa mvulana mmoja alipofika kujiunga na kidato cha kwanza akiwa na sanduku tupu. Wakati wanafunzi wengine walipokuwa wakiwasili wakibeba bidhaa tofauti na kutimiza mahitaji yote kabla ya kusajiliwa, Geoffrey Omollo ambaye ni yatima, alisema alifanikiwa kupata kamusi na viatu vya michezo vilivyoraruka alivyochangiwa na wasamaria […]