GWIJI WA WIKI: Nelson Mandela

Taifa Leo
Published: Nov 24, 2022 14:01:14 EAT   |  General

Na CHRIS ADUNGO MATAMANIO makubwa ya Nelson Mandela, 34, ni kutikisa ulingo wa filamu kimataifa kiasi cha kufikia kiwango cha staa wa Scotland, Gerard James Butler. Zaidi ya kufyatua michezo inayokubalika kimataifa na kumiliki kituo cha sanaa kitakacholea vipaji vya waigizaji chipukizi, analenga pia kuwa mshereheshaji stadi na mlumbi wa kustahiwa. Anayezidi kuweka hai ndoto […]