GWIJI WA WIKI: Kelsy Kerubo

Taifa Leo
Published: Nov 03, 2022 19:19:04 EAT   |  Educational

Na CHRIS ADUNGO KELSY Kerubo ni miongoni mwa wasanii wa humu nchini wanaoinukia vyema katika tasnia ya muziki. Upekee wake ulingoni ni upevu wa masimulizi na wepesi wa kuita maneno ya sifa kila anapojikuta katika majukwaa ya kumtukuza Mungu. Japo ana ndoto ya kuwa mwanahabari, kipaji cha uanamuziki kilianza kumtambalia katika umri mdogo mno. Shule za msingi […]