GWIJI WA WIKI: John Muli

Taifa Leo
Published: May 05, 2022 07:43:39 EAT   |  Educational

Na CHRIS ADUNGO MWALIMU John Muli ni tajiri wa vipaji. Ukimkosa darasani akifundisha Kiswahili na Jiografia katika shule ya upili ya St Charles Lwanga (Kitui), utamkuta studioni akirekodi nyimbo, akiwa mfawidhi wa hafla na sherehe mbalimbali au akichangia makuzi ya Kiswahili kupitia mijadala ya kitaaluma mitandaoni. Baada ya kuhitimu Hati ya Masomo ya Sekondari (KCSE) […]