Griezmann akasirika Mbappe kupewa unahodha Ufaransa

Taifa Leo
Published: Mar 23, 2023 12:17:54 EAT   |  News

NA MASHIRIKA PARIS, Ufaransa KIUNGO mshambuliaji Antoine Griezmann wa klabu ya Athletico Madrid anafikiria kujiondoa kwenye timu ya taifa ya Ufaransa baada ya kocha Didier Deschamps kumpa Kylian Mbappe wa Paris Saints-Germain (PSG) unahodha wa kikosi hicho. Duru zimesema Giezmann mwenye umri wa miaka 32 alitarajiwa kupewa jukumu hilo kama mchezaji wa miaka mingi kwenye […]