Taifa Leo   
Galana-Kulalu kukabidhiwa wawekezaji wa kibinafsi

Published: Nov 24, 2022 09:00:41 EAT   |  News

NA ANTHONY KITIMO SERIKALI inajiandaa kukabidhi shamba la unyunyizaji la Galana-Kulalu kwa wawekezaji wa kibinafsi. Mamlaka ya Kitaifa ya Unyunyizaji (NIA) inayosimamia utekelezaji wa mradi huo wa kilimo, imesema shamba litapeanwa kwa Shirika la Ustawishaji wa Kilimo (ADC) ambalo ndilo husimamia shughuli za kibiashara katika miezi michache ijayo. Tangazo hilo limetokea siku chache baada ya […]

View Original Post on Taifa Leo