Gaidi afungwa miaka 30 jela kwa kupanga kulipua KICC

Taifa Leo
Published: Feb 24, 2023 16:23:24 EAT   |  Technology

NA RICHARD MUNGUTI MWENDESHAJI pikipiki almaarufu bodaboda aliyetumia mtandao wake wa Facebook kupelekea magaidi ujumbe nchini Somalia kwa lengo la kulipua kwa bomu jengo la Kenyatta International Convention Centre (KICC) amesukumwa jela miaka 30. Victor Odede Bwire alifungwa na hakimu mwandamizi Bw Bernard Ochoi. Bw Ochoi alisema ugaidi unasababisha hasara kubwa kwa kusababisha maafa na […]