Gachagua amtembelea hospitalini polisi aliyedungwa mishale na washukiwa wa upishi wa chang’aa

Taifa Leo
Published: Apr 02, 2024 14:55:32 EAT   |  News

Na MWANGI MUIRURI NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua mnamo Aprili 2, 2024 alimtembelea Kamanda wa polisi wa kituo cha Juja Bw John Misoi ambaye amelazwa hospitalini baada ya kupigwa mishale na wapishi wa chang’aa mnamo Jumapili usiku.  Bw Gachagua aliahidi afisa huyo usaidizi wa serikali na pia akaahidi kwamba waliotekeleza shambulizi hilo lililofanyika katika mtaa […]