FAO yaonya kuhusu uvamizi wa nzige

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 14:53:59 EAT   |  News

Na GEOFFREY ONDIEKI SHIRIKA la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO), limeonya kuhusu uvamizi mpya wa nzige nchini Kenya na Ethiopia kuanzia kati kati ya mwezi huu wa Desemba. Shirika hilo linaonya kuwa wadudu hao hatari wanataga mayai, ambayo yataanguliwa na kuunda jeshi la nzige kwenye mpaka wa Kenya na Ethiopia katika wiki […]