Delmonte yawapiga jeki wasichana wa Mwana Wikio kwa kuwapa sodo

Taifa Leo
Published: May 30, 2023 10:59:39 EAT   |  Educational

Na LAWRENCE ONGARO WANAFUNZI wa kike wa Shule ya Upili ya Mseto ya Mwana Wikio katika Kaunti ya Murang’a wamepokea sodo za kuwafaa wakati wa hedhi. Kampuni ya Delmonte ilishirikiana na Chania Cleaners, Cortex, Salam Ltd, na Mobias Motors kuhakikisha wanafunzi wanapata bidhaa hiyo muhimu kwa usafi. Mwalimu mkuu wa shule hiyo Bi Hilda Mwangi, […]