Corona ilivyofumbua macho kampuni ya macadamia 

Taifa Leo
Published: Nov 09, 2022 06:39:04 EAT   |  Business

NA SAMMY WAWERU JANGA la Covid-19 lilipolipuka mwaka wa 2020, shughuli na biashara nyingi ziliathirika kufuatia sheria na mikakati iliyowekwa kudhibiti maenezi zaidi. Amri ya ama kuingia au kutoka kaunti zilizotajwa kuwa katika hatari ya maambukizi na huduma za usafirishaji mizigo ng’ambo kwa ndege kusitikishwa kwa muda, sekta ya kilimo ilikadiria hasara kubwa. Ni gonjwa […]