Cherera afeli kufika mwenyewe mbele ya JLAC

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 05:10:20 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA NAIBU mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Juliana Cherera Jumatatu, Novemba 28, 2022, alifeli kufika mbele ya Kamati ya Bunge Kuhusu Haki na Masuala ya Kitaifa (JLAC) inayosikiliza ombi la kutimuliwa kwake. Badala yake, Cherera, ambaye alitarajiwa kujitetea mbele ya kamati hiyo inayoongozwa na Mbunge wa Tharaka George Murugara, […]