CHARLES WASONGA: Wabunge walegeze masharti makali kuhusu mkopo wa Hazina ya Hasla

Taifa Leo
Published: Nov 16, 2022 13:38:11 EAT   |  Business

NA CHARLES WASONGA MUUNGANO wa Kenya Kwanza ulibuni wazo la kuanzisha Hazina ya Hasla kwa lengo la kuwasaidia wafanyabiashara wa kiwango kidogo kupanua biashara zao. Hili ni kundi la wafanyabiashara ambao wamekuwa wakisumbuliwa sana wakitaka kupata mkopo kutoka kwa benki na asasi nyingine za kifedha zinazotoa mikopo kwa masharti makali na riba ya juu. Isitoshe, […]