Taifa Leo   
CHARLES WASONGA: Ruto azingatie ahadi yake ya kutoangusha upinzani

Published: Nov 24, 2022 12:17:59 EAT   |  News

NA CHARLES WASONGA SIKU chache baada ya ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuidhinishwa na Mahakama ya Upeo, Rais William Ruto alitangaza kuwa angependa mrengo wa upinzani wenye nguvu. Upinzani ambao ungeangazia utendakazi wa serikali yake ili iweze kuwajibikia Wakenya waliomchagua kuwa rais wao.Rais Ruto alisema ili kutimiza lengo hilo hangeteua viongozi wa […]

View Original Post on Taifa Leo