Changamoto hazikuzuia juhudi zake za kusomea uanahabari na kuwa msanii tajika

Taifa Leo
Published: Apr 13, 2022 18:56:20 EAT   |  Entertainment

Na PETER CHANGTOEK CHANGAMOTO alizozipitia hazikumzuia kufanikisha ndoto yake kuwa mwanahabari na mwimbaji wa nyimbo za injili. Edith Bwire, ambaye anajulikana kwa jina la usanii kama Edith Bee Kadumbe, ni msanii wa nyimbo za injili aliyevuma kwa kibao chake kinachojulikana kwa jina Kadumbe. Licha ya changamoto kadha wa kadha maishani, hafi moyo asilani. “Nilizaliwa katika […]