‘Bobby’ Ogolla yule kipenzi cha mashabiki

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 21:29:32 EAT   |  General

Na JOHN ASHIHUNDU USHIRIKIANO wa John Bobby Ogolla, Josephat Controller Murila, Peter Otieno Bassanga na Hussein Kheri aliacha historia katika ngome ya Harambee Stars miaka ya themanini. Ogolla kwa jina la utani ‘The Six Million Dollar Man’ alikuwa tegemeo katika ngome hiyo ambayo jukumu lake lilikuwa kulinda kipa Mohmoud Abbas maarufu kama ‘Kenya One’.Chini ya […]