Bidhaa zilizoundwa kwa maganda ya miwa, magazeti na vitabu kulinda mazingira

Taifa Leo
Published: Nov 23, 2022 21:06:57 EAT   |  News

NA SAMMY WAWERU BIDHAA za plastiki zinakisiwa kuchukua miaka na mikaka kabla kuoza, zinapotupwa au kuzikwa udongoni. Ni uhalisia unaochangia kuharibu udongo na zaidi ya yote mazingira. Itakumbukwa kwamba mwaka 2017 serikali ya Rais Mstaafu, Uhuru Kenyatta ilipiga marufuku matumizi ya mifuko ya karatasi za plastiki. Amri hiyo hata hivyo inaendelea kupuuzwa, baadhi ya wafanyibiashara […]