BENSON MATHEKA: Usalama wa kila mtahiniwa uhakikishwe katika msimu huu wa mitihani

Taifa Leo
Published: Nov 29, 2022 05:23:19 EAT   |  General

NA BENSON MATHEKA MSIMU wa mitihani umeanza nchini. Wanafunzi wa Gredi ya Sita, Darasa la nane na kidato cha nne wanafanya mitihani yao. Huu ni wakati muhimu kwa wanafunzi hao ambao wamekuwa wakiandaliwa na walimu na wazazi wao kwa mitihani hiyo. Muhimu kabisa wakati huu ni usalama wa wanafunzi hao, sio tu katika vituo vya […]