Bei za bidhaa zapanda maradufu sokoni kwa sababu ya ada za usafirishaji, kiangazi

Taifa Leo
Published: Mar 09, 2023 10:26:08 EAT   |  Business

NA SAMMY KIMATU WAFANYABIASHARA wameomba serikali za kaunti kupunguza au kuondoa ada wanayotoza malori ya kusambaza bidhaa za kilimo katika masoko mbalimbali jijini Nairobi. Akiongea na Taifa Leo  Alhamisi asubuhi, Mwenyekiti wa Soko la Muthurwa, Bw Nelson Githinji Githaiga amesema wakulima wanajizatiti kulisha wakazi katika Kaunti ya Nairobi ilhali wanaponzwa na ada wanazotozwa barabarani. Alikariri […]