Barcelona waaga UEFA katika hatua ya makundi baada ya kuzamishwa na Bayern

Taifa Leo
Published: Dec 09, 2021 05:19:45 EAT   |  Sports

Na MASHIRIKA MABINGWA mara tano wa Klabu Bingwa Ulaya (UEFA), Barcelona, walipigwa 3-0 na Bayern Munich mnamo Jumatano usiku na hivyo kudenguliwa kwenye hatua ya makundi ya kipute hicho kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 17. Barcelona hawajawahi kukosa kunogesha kampeni za UEFA katika hatua ya 16-bora tangu 2003-04 walipokosa kufuzu kabisa kushiriki […]