
Babu Owino aorodheshwa mbunge bora zaidi katika utendakazi
Published: May 25, 2023 13:12:10 EAT | News
Na WANGU KANURI BABU OWINO, mbunge wa Embakasi Mashariki aliongoza orodha ya wabunge 20 walioratibiwa katika utendakazi wao miezi minane baada ya kuchaguliwa Agosti 2022. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Leeway Africa, viongozi hao walipigiwa debe na wakazi wa maeneo wanayoongoza huku Babu akiibuka nambari wani. Mbunge huyo aliyevuma kupitia chama cha ODM aliongoza […]