
Atishia kuua mpangaji kwa kunyimwa ‘tunda la ndoa’
Published: May 31, 2023 07:24:57 EAT | General
Na RICHARD MUNGUTI MWANAUME aliyenyimwa tendo la ndoa na mpangaji katika jengo la wazazi wake ameshtakiwa kwa kutisha kumuua mwanadada huyo. Ian Mutwii Mwenga alishtakiwa mbele ya hakimu mkazi Mercy Malingu kwa kumtumia ujumbe wenye vitisho mlalamishi mnamo Mei 21, 2023. Mshtakiwa alidaiwa alimtumia ujumbe mlalamishi uliosema “we tafuta nyumba ingine mapema nimekupea hii mwezi […]