Ashtakiwa kwa kuua mpenzi wake chuoni    

Taifa Leo
Published: May 25, 2023 12:45:10 EAT   |  Educational

  NA TITUS OMINDE MWANAFUNZI wa mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Eldoret (UOE) anayeshukiwa kumuua mpenziwe wiki tatu zilizopita amezuiliwa kwa siku sita ili kuwezesha polisi kukamilisha uchunguzi. Mnamo Alhamisi mahakama ya Eldoret iliruhusu wapelelezi kumzuilia Kenneth Kibet, 24, kufuatia ombi la maafisa wa uchunguzi. Alipokuwa akiwasilisha ombi la kuzuiliwa kwa mshukiwa, mchunguzi wa […]