Ashtakiwa kwa kutumia magari ya watu kuchukua mikopo

Taifa Leo
Published: May 25, 2023 12:16:01 EAT   |  Business

Na RICHARD MUNGUTI MWANAMKE ameshtakiwa kwa kutumia magari ya watu kuchukua mikopo kutoka kwa mashirika ya fedha. Emily Wanjiku Kimani alishtakiwa mbele ya hakimu mkuu Francis Kyambia kwa makosa ya kughushi stakabadhi za umiliki wa magari. Mahakama ilifahamishwa kwamba Wanjiku alikuwa anatumia vitabu vya kumbukumbu (logbook) alivyoghushi vya magari na kusajili kwa jina la mtu […]