Taifa Leo   
Ashtakiwa kwa kulaghai mke wa rafikiye Sh2 milioni

Published: May 31, 2023 07:18:34 EAT   |  General

Na RICHARD MUNGUTI MUUZAJI mashamba na ardhi ameshtakiwa kwa kumlaghai mke wa rafikiye anayeishi Amerika Sh2 milioni. Esrom Kamande Kamau mwenye umri wa miaka 42 alikabiliwa na shtaka la kumlaghai Jacinta Wangari Kimotho Sh2, 097, 680 akidai atamuuzia shamba katika mtaa wa Thome eneo la Kasarani, Nairobi. Alipotunguliwa pesa hizo Wangari alikuwa anaugua. Esrom amekana […]

View Original Post on Taifa Leo