Ari ya kisasi ilimsukuma kwa ndondi

Taifa Leo
Published: Dec 08, 2021 22:08:02 EAT   |  General

Na GEOFFREY ANENE SARAH Achieng’ Ndisi hakudhania atafanikiwa kuwa bondia mtajika baada ya mazoezi yake ya kwanza mapema 2008, katika ukumbi wa Kariobangi North jijini Nairobi. Hata hivyo, Achieng’ (pichani)sasa ni malkia mpya wa masumbwi akifuata nyayo za Conjestina Achieng’ na Fatuma Zarika.Hii ni baada yake kumpangua Anisha Basheel kutoka Malawi katika pigano la taji […]